Wapalestina wamepambana na polisi wa Israel ndani na maeneo ya karibu na Jerusalem hii leo baada ya kumalizika swala ya Ijumaa// Jeshi la polisi nchini Tanzania bado linaendelea kumshikilia mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo; CHADEMA Tundu Lisu// Serikali ya Zanzibar imezindua kanuni mpya ya kudhibiti matumizi ya tumbaku.