Wakongomani wanamaoni tofauti kufuatia kutajwa kwa waziri mkuu mpya, ikiwa raia waliowengi wa kizazi kipya hawamfahamu Ilunga Ilunkamba// Maafisa wa idara ya ujasusi wanajiandaa kuelekea Dubai ili kurekodi taarifa ya mwakilishi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE ) kuhusiana na sakata la dhahabu bandia linalochunguzwa// Malawi inafanya uchaguzi wake mkuu leo kumchagua rais mpya pamoja na wabunge.