Waasi wa Houthi nchini Yemen wanaosaidiwa na Iran wamehujumu uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kambi ya kijeshi kwa mabomu yaliyodondoshwa na ndege inayoruka bila ya rubani// Viongozi wa maandamano nchini Sudan wamewatolea wito wafuasi wao leo kujiandaa kwa maandamano makubwa zaidi// Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Federica Mogherini yuko barani Afrika kwa ziara rasmi.