Waasi wa Uganda, ADF, wanaripotiwa kufanya mashambulizi makali kaskazini mwa mji wa Beni, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo// amhuri ya Kidemokrasia ya Congo inajiandaa kuzindua mpango wa chanjo ya kwanza leo Jumatatu, katika jitihada za kukabiliana na mripuko wa hivi karibuni wa ugonjwa hatari wa Ebola//Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ametangazwa mshindi katika uchaguzi wa rais uliofanyika jana.