Rais wa Marekani, Donald Trump amemteua Herbert Raymond McMaster kuwa mshauri mpya wa usalama wa taifa// Takriban watoto milioni 1.4 kutoka Nigeria, Somalia, Sudan Kusini na Yemen wanateseka kutokana na utapiamlo uliokithiri na wanaweza kufariki mwaka huu// Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe leo anatimiza miaka 93 huku kukiandaliwa sherehe zitakazogharimu Dola za Kimarekani Milioni 2.5.