Bunge la Uganda limepiga kura ya kuondoa ukomo wa umri wa mgombea urais// Rais mpya wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesema suala la kufufua uchumi wa nchi hiyo ndio kipaumbele chake cha kwanza// Halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya imependekeza kipindi cha mpito kitakachofuatia kujitoa Uingereza katika umoja huo-Brexit.