Miongoni mwa tuliyonayo mchana huu: Mazungumzo ya amani kati ya pande zinazohasimiana Yemen yamalizika huku kukizuka mapigano mapya nchini humo // Uturuki yasema itaviondoa vikosi vyake vya kijeshi Iraq, kufuatia wito wa Rais Barack Obama wa Marekani // Ndege ya shirika la ndege la Ufaransa iliyokuwa inatoka Mauritius kuelekea Paris imelazimika kutua kwa dharura Mombasa, Kenya