Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema zaidi ya watu 100 wameuwawa kwenye miji 21 nchini Iran// Jeshi la Israel pamoja na kundi moja linaloangalizi masuala ya vita wamesema Israel leo imefanya mashambulizi makubwa dhidi ya maeneo viliko vikosi vya Iran na Syria nchini Syria.