Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekataa kusaidia kuutatua mgogoro wa jimbo la Catalonia wakisema ni wajibu wa serikali kuu ya mjini Madrid na Barcelona kutafuta suluhu ya mkwamo huo mnamo wakati baraza la mawaziri la uhispania likitarajiwa kukutana ili kuamua hatua zaidi za kuchukua kufuatia mkwamo huo.