1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.08-2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

20 Agosti 2021

Kundi la Taliban limetoa wito kwa maimamu kuhubiri amani wakati wa sala ya Ijumaa. Msaada umeanza kuwasili kwa wingi kwenye maeneo yaliyoathiriwa na tetemeko nchini Haiti. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka pande hasimu kwenye mzozo wa Tigray kusitisha mapigano.

https://p.dw.com/p/3zCLF