Mvutano wa kisiasa unaendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wakati ambapo muhula wa uongozi wa Rais Joseph Kabila ukiwa unamalizika hii leo // Zoezi la kuwahamisha raia kutoka mjini Aleppo limeendelea tena// Rais mteule wa Gambia Adama Barrow amesema kuwa yuko tayari kuchukua hatamu za uongozi wa nchi hiyo ifikapo mwezi Januari.