Kwa kuongeza ushuru zaidi kwa bidhaa zenye thamani ya dola bilioni 200 kutoka China, rais wa Marekani Donald Trump amezidisha vita na swali la nini kitakachojiri baadaye kati ya mataifa hayo mawili yenye uchumi mkubwa duniani//Wizara ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo ya Ujerumani imefanya kikao cha siku moja nchini Tanzania.