Barack Obama amekutana kwa mara ya mwisho na waandishi wa habari katika Ikulu ya Marekani, White House// Majeshi Senegal yakiungwa mkono na majeshi mengine ya Afrika yameweka kambi kwa muda katika mpaka na Gambia baada ya rais Yahya Jammeh kukataa kuachia madaraka// Mahakama mkoani Lindi nchini Tanzania imewahukumu viongozi wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini Tanzania CHADEMA.