Umoja wa Mataifa utapiga kura ya kuwatuma waangalizi Aleppo/ Rais wa Baraza la Ulaya Donald Tusk amekitaka chama tawala nchini Poland kuheshimu katiba/ Na mazungumzo ya kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yameahirishwa