Wafuasi wa aliyekuwa rais wa Bolivia wamemtaka kiongozi wa mpito nchini humu kujiuzulu. Polisi wa Hong Kong wamevamia Chuo Kikuu kilichoshikiliwa kwa siku kadhaa na waandamanaji. Rais wa Chile amelaani polisi kutumia nguvu kupita kiasi kuwakabili raia wanaoandamana