Silaha huko Yemen zitawekwa chini kuanzia Alhamisi kwa muda wa masaa 72// Serikali ya Tanzania imesema kuwa haiwezi kujiunga katika mpango wa visa ya pamoja ya utalii iliyoanzishwa na nchi za Kenya, Uganda na Rwanda// Rais Uhuru Kenyatta amezilaumu taasisi zilizopewa mamlaka ya kupambana na ufisadi serikalini akisema zimeshindwa kutekeleza majukumu yake.