SiasaKimataifa17.10.2020 - Matangazo ya MchanaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaKimataifaRashid Chilumba17.10.202017 Oktoba 2020Ufaransa imewakamata watu 9 kuhusiana na kisa cha kuuwawa mwalimu mmoja kwa kukatwa kichwa. Shambulizi la kombora lamewaua watu 12 nchini Azerbaijan. Wazrii Mkuu wa New Zealand ameshinda uchaguzi mkuu uliofanyika leo.https://p.dw.com/p/3k4PGMatangazo