Jumuiya ya Maendeleo ya Mataifa yaliyo kusini mwa Afrika (SADC) inaadhimisha miaka 25 tokea kuanziswa kwake// Machafuko kwenye majimbo ya Kasai na Tanganyika yamesababisha kuweko na baa la njaa nchini Kongo// Utafiti mpya wa maoni uliochapishwa hivi karibuni unaonyesha rais wa Urusi Vladimir Putin anaaminika zaidi kuliko Donald Trump wa Marekani.