Waziri wa Uturuki anayehusika na masuala ya Umoja wa Ulaya ameituhumu Ujerumani kwa kuuharibu uadilifu wa Umoja wa Ulaya// Mazishi ya pamoja ya mamia ya maiti zilizotokana na maporomoko ya matope siku tatu zilizopita yamefanywa leo katika mji mkuu wa Sierre Leone, Freetown.