Rais wa Marekani Joe Biden arejea kwenye kampuni huku akimshambulia Trump//Seneta wa chama cha Democratic, Marekani, apatikana na hatia ya rushwa//Na Shirika la kutetea haki za watoto la KidsRights lasema kuna ongezeko la ukiukwaji wa haki za watoto duniani