Zanzibar: Masheikh wa UAMSHO wachunguzwa afya+++Rais wa zamani wa Ivory Coast Laurent Gbagbo, anarejea nchini mwake Alhamisi kwa mara ya kwanza katika kipindi cha takriban muongo mmoja+++Tume ya uchaguzi nchini Kenya IEBC imeelezea hofu ya kuwakataa matokeo ya uchaguzi na kuzuka ghasia baada ya uchaguzi+++Viwango vya migogoro kote duniani vimeongezeka tangu kuzuka kwa janga la virusi vya corona.