Bonn, Ujerumani Mkutano wa kundi la mataifa yenye maendeleo makubwa ya viwanda duniani na nchi zinazoinukia kiuchumi unamalizika leo. //Munich, Ujerumani- Katibu mkuu wa jumuiya ya kujihami ya NATO Jens Stoltenberg amesisitiza umuhimu wa kuwepo kwa ulinzi wa hali ya juu baina ya mataifa ya Ulaya na Marekani// Berlin- Kansela wa Ujerumani Merkel amekutana na waziri mkuu wa Canada Trudeau.