Shirika la Ujasusi nchini Ujerumani limeonya kwamba kundi linalojiita dola la Kiislamu IS linaingia barani ulaya kupitia makundi ya wakimbizi// Rais wa jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila alilihutubia taifa na kuahidi kuheshimu katiba ya nchi hiyo// Gambia ni nchi ya hivi Karibuni kabisa kufikisha rasmi barua yake katika Umoja wa Mataifa ya kutaka kujiondoa katika mahakama ya ICC.