Muungano mkuu wa upinzani nchini Kenya umelaani hatua ya serikali ya kuzima maandamano yaliyokuwa yamepangiwa kufanyika kote nchini// Maelfu ya raia wa Iraq wameshuhudiwa wakiondoka katika mji wa Kirkuk hii leo baada ya vikosi vya serikali kusonga mbele kudhibiti baadhi ya maeneo// Austria inajiandaa kufuata mkondo mpya wa kisiasa kufuatia ushindi wa kijana mdogo wa kihafidhina, Sebastian Kurz.