Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Trump atakalimisha kipindi cha mwaka mmoja madarakani tangu achukue urais. Je, amefikia wapi katika kuzitimiza?/ Merkel anazingatia uwezekano wa kujiunga na Macron katika kongamano la Davos/ Human Rights Watch: Wanamgambo wa Alshabaab Somalia wanaongeza vitisho dhidi ya raia kwa kuwalazimisha kuwapa watoto wao ili kuwaingiza katika mafunzo ya kijeshi