1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.10.2017: Matangazo ya Mchana

15 Oktoba 2017

Idadi ya vifo kufuatia mripuko wa bomu lililotegwa kwenye lori mjini Mogadishu yaongezeka, Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel akutana na mtihani mwingine, wakati akielekea kwenye mazungumzo ya kuunda serikali ya muungano na Wairani wagadhibishwa na matamshi ya Rais Donald Trump juu ya mkataba wa nyuklia.

https://p.dw.com/p/2lrJz