Tunisia kuandaa uchaguzi wa Urais Jumapili. //Walimu nchini Kenya wapinga vikali agizo la kuwashinikiza kuwa na shahada ya uzamili kabla ya kuomba nafasi za kuwa walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari.// Habari za baraza la mawaziri Uganda kuidhinisha kubuniwa kwa baraza la kitaifa la Kiswahili zapokelewa kwa maoni mbalimbali na wananchi nchini humo.