Rais Ramaphosa wa Afrika Kusini, leo anaanza ziara ya siku mbili nchini Tanzania/ Jumuiya ya afrika mashariki imekanusha taarifa zilizochapishwa kwenye gazeti la wiki "The East African" linalochapishwa nchini Kenya, zikileza kwamba jumuiya hiyo inapitia kipindi kigumu cha uchumi/ Wazazi watalazimika kulipia vyeti vya kuzaliwa vya watoto wao baada ya mchakato wa kuvipata bila malipo kufikia kikomo.