1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.07.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi

V2 / S12S13 Julai 2024

Miongoni mwa yale utakayoyasikia kwenye habari asubuhi ya leo ni Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ireland. Marekani na Urusi waangazia kupunguza kuongezeka kwa mzozo na Karibu watu 22 wafa baada ya jengo la shule kuanguka nchini Nigeria.

https://p.dw.com/p/4iF8k