Jeshi la israel limesema kuwa Palestina sasa imeirushia Israel zaidi ya maroketi 1,600 kutoka Gaza// Mufti wa Uganda Sheikh Shaban Ramadhan Mubajje ametoa mwito kwa rais Museveni kuwachia bila masharti yoyote watu wanaodaiwa kuwa wafungwa wa kisiasa waliokamatwa// Ghasia baina ya vikundi viwili vya waislam imejitokeza leo mjini Kinshasa na kusababisha kifo cha polisi moja//