Ongezeko la machafuko kati ya Israel na Palestina limeiweka kwenye hali ya mshangao serikali ya rais Joe Biden wa Marekani// Kiwango kisicho cha kawaida cha ukame katika nchi nyingi za afrika kimewaacha wataalam na mashirika ya misaada katika wasiwasi mkubwa wa kitisho cha baa la njaa// Nchi nyingi masikini bado zinahangaika ili kupata dozi za chanjo za covid-19.