Ushirikiano wa muda mrefu kati ya Korea Kaskazini na nchi nyingi za Kiafrika ulioanza tangu wakati wa vita baridi hauwezi kumalizika kirahisi// Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika zimeahidi kuchukua hatua za haraka kupambana na biashara haramu ya ulanguzi wa binadamu na utumwa.