1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.11.2016- Matangazo ya jioni

Isaac Gamba
12 Novemba 2016

Tuliyo nayo ni pamoja na : Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya kukutana Brussels kujadili mustakabali wa ushirikiano wa umoja huo na Marekani kufuatia ushindi wa Donald Trump //Bunge la Afghanistan lapiga kura kuwafuta kazi mawaziri kadhaa// Maandamano yafanyika mjini Cologne Ujerumani kupinga utawala wa Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan

https://p.dw.com/p/2SbyR