Vyama vya wafanyakazi nchini Ufaransa leo vimeanzisha migomo na maandamano makubwa nchini humo kupinga sera za Rais Emmanuel Macron za kufanya mageuzi katika sheria za ajira// Serikali ya Tanzania imetakiwa kuwekeza kwa watu wake bila kujali gharama zitakazotumika ili waweze kusimamia vyema rasilimali ya mafuta na gesi.