1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.03.2022 Matangazo ya Mchana

12 Machi 2022

Nchini Kenya Muungano wa Azimio la Umoja unajiandaa kumtangaza rasmi atakayeipeperusha bendera yao katika uchaguzi mkuu wa Agosti 9. Kongamano la kumpata mgombea linafanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa,KICC katikati ya jiji la Nairobi.

https://p.dw.com/p/48OMR