May kukutana na viongozi wa Ulaya kuzungumzia mpango wake wa Brexit/ Beni, mashariki mwa Congo: Mauwaji ya wakaazi na ADF inatajwa kuwa, huenda ikavuruga operesheni za uchaguzi katika eneo hilo/ Wayemeni milioni 20 wakabiliwa na baa la njaa/ Ufaransa: Hotuba ya rais Emmanuel Macron yapingwa vikali