Katika jimbo la Uhispania la Catalonia, ambapo kwa siku kadhaa sasa kumekuweko na mvutano kati ya serikali kuu ya Uhispania na viongozi wa jimbo hilo, kuhusu suala la kutaka kujitenga// Sauti zimehanikiza miongoni mwa wafuasi wa chama tawala cha kihafidhina nchini Marekani-Republicans kulalamika dhidi ya mtindo wa utawala wa rais Donald Trump.