Waziri mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn amesema serikali yake inataka kufanya mageuzi ya mfumo wa uchaguzi// Juhudi za kidiplomasia zinaendeshwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na nchi za Jumuiya ya Ushirikiano wa Maendeleo ya Kusini mwa Afrika, SADC// Kenya na Afrika Kusini zimetiliana saini mikataba kadhaa ya maendeleo.