Wakenya wanasubiri kumjua rais wao mpya baadaye hii leo// Rais wa Marekani Donald Trump amezidisha vita vya maneno na vitisho kati yake na Korea Kaskazini// Umoja wa Ulaya utaitisha mkutano wa dharura wa mwaziri kuzungumzia kadhia ya mayai yaliyoambukizwa sumu ya wadudu fiproni.