Rais wa Somalia hii leo ameyaomba mataifa yaliyo na nguvu kumsaidia katika kupambana na ugaidi// Nchini Kenya wananchi wanasubiri kwa hamu kuiona bajeti ya dharura inayokusudia kupunguza ukali wa hali ya maisha iliyosababishwa na mfumko mkubwa wa bei muhimu za bidhaa.