Rais wa Marekani Donald Trump amemfukuza kazi mkuu wa idara ya upelelezi nchini humo, FBI, James Comey// Siku ya Jumapili jimbo la North-Rhein Westphalia lililoko kaskazini mwa mto Rhine hapa Ujerumani, litakuwa linapiga kura ya mwisho ya majimbo, kabla uchaguzi mkuu wa mwezi Septemba.