Iran inasema inaacha utekelezaji wa baadhi ya ahadi zake kwenye mkataba wa kusitisha utengezaji silaha za nyuklia// Wataalamu wa masuala ya madini kutoka mataifa ya Afrika wakutana // Na Chama tawala Afrika Kusini ANC kinangoza katika matokeo ya uchaguzi wa bunge// Waislamu kote ulimwenguni wamo katika harakati za mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.