Marais wa Tanzania na Uganda hii leo wamerejelea azma yao ya kuboresha zaidi ushirikiano kati ya nchi hizo mbili// Lebanon inaamini kuwa Saad al-Hariri aliyejiuzulu kama waziri mkuu Jumamosi iliyopita akiwa saudi Arabia anashikiliwa Saudi Arabia// Tume za uchaguzi barani Afrika zimesema kwamba zinakabiliwa na shinikizo kubwa kutoka kwa viongozi walioko madarakani.