Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Bunge jipya la Burundi litakalo kuwa na wabunge 121, viti 77 vitakaliwa na wabunge kutoka chama tawala Burundi cha CNDD-FDD// Waziri Mkuu wa Ugiriki, Alexis Tsipras amesema taifa lake limejifunga kutekeleza mageuzi ya kiuchumi// Je kikao cha kamati ya Maadili ambacho kitakuwa chini ya mwenyekiti wake Rais Jakaya Kikwete kimeanza?