Jeshi la Syria limevunja mzingiro uliokuwa umewekwa na waasi kuizunguka kambi yake Mashariki mwa mji mkuu Damascus, na kuwakomboa wanajeshi wapatao 200// Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alitoa wito jana Jumapili wa kufungwa kwa shirika la Umoja wa mataifa la kuwahudumia wakimbizi wa Palestina// Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anafanya ziara rasmi nchini China.