Mwanamfalme Mohammed Ben Salman wa Saudi Arabia amejiingiza hivi sasa katika vita vya maneno dhidi ya Iran anayoituhumu "kufanya uchokozi wa moja kwa moja katika ugomvi nchini Yemen// Nchini Tanzania chama cha upinzani cha ACT Wazalendo imeandamwa na jeshi la polisi leo hii ukifanyika upekuzi katika ofisi za chama hicho.