Wagombea wa uraisi wa Marekani Donald Trump wa Republican na Hillary Clinton wa Democratic, hii leo wamepambana vikali katika majimbo ambayo ni lazima wapate ushindi// Hebu fikiria, kwamba uchaguzi unafanyika nchini Marekani kesho Jumanne na kisha Trump ameshinda// Mazungumzo ya Umoja wa mataifa kuhusiana na madiliko ya tabia nchi yameanza hii leo mjini Marrakesh, Morocco.