Mwanasiasa mkosoaji mkubwa wa serikali na Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki kwa tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA nchini Tanzania ambaye ni Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika Tundu Lisu amefyatuliwa risasi na watu wasiojulikana hii leo // Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema Uturuki inabaki kuwa mshirika muhimu wa Umoja wa Ulaya.