Viongozi wa nchi 20 zinazoongoza kiuchumi duniani wanaendelea kufanya mazungumzo ya faragha katika mkutano wao wa kilele ulioanza leo mjini Hamburg, Kaskazini mwa Ujerumani// Joto la kisiasa linazidi kupanda nchini Kenya huku kukiwa kumesalia takriban mwezi mmoja tu uchaguzi Mkuu nchini humo kuandaliwa// Jeshi la Misri limesema kiasi ya wanajeshi 23 wameuawa na wengine 33 wamejeruhiwa.