Rais wa Marekani Donald Trump amesaini Amri Mpya ya Rais inayozuia watu kutoka mataifa 6 yenye Waislamu wengi kuingia nchini Marekani// Rais Donald Trump hatokubali kukiri kwamba amefanya kosa katika jaribio lake la kwanza// Majeshi ya Iraq leo hii yamefanikiwa kulidhibiti eneo lenye majengo mengi ya serikali katika eneo la Magharibi mwa mji wa Mosul.